Kama ambavyo imeonyeshwa na ukaguzi wa mahitaji ya mafunzo uliofanywa na Kituo cha Umoja wa Mataifa cha Makao ya Binadamu (Habitat), mahitaji ya mafunzo ya maofisa wa serikali ambao wamechaguliwa (madiwani) au ya wanasiasa, yanaonekana ya dharura sana kote ulimwenguni. Wakati huo huo, mafunzo haya yanaonekana katika maeneo yenye kushugulikiwa kwa kiwango cha chini zaidi miongoni mwa yale yanayojenga uwezo kwa minajili ya maendeleo ya mneneo maalum na usimamizi wa miji.
DOWNLOAD: (129 Kb)
ISBN Series Number:- Not available - ISBN: not applicable HS Number: HS/335/94K Series Title:- Not available - Pages: 42 Year: 1994 Publisher: UN-HABITAT Co-Publisher :- Not available - Languages:
swahili
Themes: Training and capacity building Countries: Branch/Office:
Training and Capacity Building